Saturday, November 7, 2009

JOH MAKINI AMBWAGA FID Q!


Ni katika kipindi cha 'Nani Zaidi' kinacho endeshwa kila siku ya jumapili kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi alasiri kupitia kituo cha redio cha Radio One, cha jijini Dar es salaam.Katika kinyanganyiro hicho jumla ya kura 36 zilipigwa, na katika kura hizo, Joh Makini alipata kura 25 huku Fid Q akiambulia kura 11.

No comments:

Post a Comment