Monday, November 9, 2009

MAISHA CLUB YAUNGUA MOTO!!!!





Hii ni habari ya kusikitisha sana kwa wapenzi wa masuala ya burudani, ambao kwao Maisha Club ilikuwa ni sehemu nzuri ya kukutana kila mwisho wa wiki kwa ajili ya kuburudika. Mamahiphope Magazine tunatoa pole kwa wamiliki wa club hii pamoja na wadau wote ambao kwa namna moja au yingine waliitegemea Maisha Club kwa ajili ya kujipatia riziki.

No comments:

Post a Comment