Monday, November 9, 2009

MAISHA CLUB YAUNGUA MOTO!!!!





Hii ni habari ya kusikitisha sana kwa wapenzi wa masuala ya burudani, ambao kwao Maisha Club ilikuwa ni sehemu nzuri ya kukutana kila mwisho wa wiki kwa ajili ya kuburudika. Mamahiphope Magazine tunatoa pole kwa wamiliki wa club hii pamoja na wadau wote ambao kwa namna moja au yingine waliitegemea Maisha Club kwa ajili ya kujipatia riziki.

Sunday, November 8, 2009

KWA NINI JOH MAKINI ALIMBWAGA FID Q?


Ni swali zuri unaloweza kujiuliza, lenye jibu rahisi kuliko unavyoweza kutegemea, kimsingi Fid Q na Joh Makini ni wasanii ambao uzito wao hautofautiani sana, lakini ukiwapambanisha, ni Joh Makini, ndo atakaye ibuka na ushindi, unajua sababu ni nini? . Joh Makini anaumiza sana kichwa, anacho kiimba ni kile anacho kifikiria yeye mwenyewe, i mean anaimba mawazo yako mwenyewe( independent thinking ). Wakati Joh Makini akifanya hivyo, Ngosha yuko busy kwenye library yake akisoma vitabu na majarida ya aina mbalimbali, huku akitazama movies pia. Unajua kinachofuatia ni kitu gani?, ana chukua jumbe anazozisoma kwenye vitabu hivyo, au scripts za kwenye movies na kuziimba kana kwamba ni za kwake mwenyewe( plagiarism), anacho kifanya ni kubadili lugha kutoka kwenye kiinegreza kwenda kwenye kiswahili ( huu ni uharamia wa kitaaluma ). Anacho kifanya Fid Q ni hatari sana dhidi ya maendeleo ya muziki wake mwenyewe kwa sababu kwanza, anacho kiimba watu wa kawaida( wasio enda shule ), wanakuwa hawakielewi huku walio enda shule wanakuwa wanmchora tu na kumuona zaidi kama mtafisiri kuliko msanii kichwa anaye fikiri.Tatizo hili analo pia Mwana FA( Nitalizungumzia kwa undani zaidi siku za mbeleni ). Kwa mtindo huo, wasanii wa kaliba ya Joh Makini, Nako 2 Nako,Chid Benz, Mansu Li,kwa kuwataja wachache wataendelea kuheshimika sana katika tasnia ya muziki wa hiphop ya bongo ndani na nje ya bongo, kwa nini? kwa sababu wanaumiza vichwa, hawaandiki mistari ya tafsiri. Kwa mfano Nako 2 Nako, huwa hawaimbi filosofi, wao wanaimba juu ya mambo ya kawaida kabis yanayotokea mitaani, tena kwa lugha rahisi inayoelewa, ndio maana wanaheshimika na kukubalika sana, katika jamii ya mashabiki wa muziki wa hiphope. Msanii wa hiphope anapotumia lugha ya kawaida na mawazo ya kawaida ndivyo anavyoweza kuwateka mashabiki. Kwa mfano ,hebu msikilize Fid Q kwenye track ya "Usinikubali Haraka"; Ni traki ya ukweli sana na imewashika sana mashabiki wa muziki kwa sababu ametumia lugha ya kawaida sana. Ninaamini Fid Q anao uwezo mkubwa sana wa kuandika masahiri mazuri bila kutumia mawazo ya watu wengine, traki kama "Huyu na Yule" ni mfano mzuri wa kazi zake alizo fanya kwa kutumia mawazo yake mwenyewe. Hii ni changamoto kwa wasanii wa hiphope wa kaliba ya Fid Q na Mwana FA.

Saturday, November 7, 2009

JOH MAKINI AMBWAGA FID Q!


Ni katika kipindi cha 'Nani Zaidi' kinacho endeshwa kila siku ya jumapili kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi alasiri kupitia kituo cha redio cha Radio One, cha jijini Dar es salaam.Katika kinyanganyiro hicho jumla ya kura 36 zilipigwa, na katika kura hizo, Joh Makini alipata kura 25 huku Fid Q akiambulia kura 11.

Thursday, October 15, 2009

MAMAHIPHOPe - HISTORY SPOTLIGHT


Born a slave in Tennessee on May, 15, 1832, Mary Fields grew up an orphan,never married and had no any children. But she was admired and respected for holding her own and living her own ways in a world where the odds were stacked against her. While African American and women of any race enjoyed little freedom any where in the world, Mary Fields enjoyed more freedom than most white men.
At the end of the civil war, the 6 foot tall and 200 pounds, Fields headed to Montana in search of an opportunity and was hired to do heavy works for the nuns in catholic convent in cascade. Fields carried a pair of six footers and a 10 gauge,. and loved the children of Cascade County. The tough short-tempered woman had a standing bet that she could knock a man out with one punch,and she never lost a dime to anyone foolish enough to take her on that bet. She wasc also the only woman of reputable character in Cascade County allowed to drink in a local bar as ordererd by the mayor. But this tough woman has also a caring side to her.
Marry Fields helped build the St. Peters mission school and supported the local baseball team as its no.1 fan,preparing buttonhole bouquest of flowers for each player from her own garden,with larger bouquest reserved for run home hitters.After opening her own cafe with the help of the nuns,she closed thereafter because she fed the hungry who were unable to pay( although rumors suggesting that her cooking were horible).
After Bishop Brondell, the first catholic bishop in Montana, received co,plaints about her behaviour( the fights,the drinking and the smoking),he told the convent that Marry Fields must leave. The nuns helped secure a mail for her and Fileds became the second woman in the country to manage a mail route. They even supplied her with a wagon and a team and a team of roses for the route. Marry became a legend known AS "Stagecoach Marry" for her unfalling reliability as she miss miss a day on the job.
Fields retired from stagecoach driving at the age of 70 and opened a laundry business. The people of town thoght so highly of her that on her birthday they would close the local on her nonor.She would then buy candy and trees for the children.Fileds was also trested to free meals at the New Cascade Hotel for the rest of her life when it was leased in 1910.Two years later,when her home ( and busines lanudry), was burned down, the citizens built her a new one.
Sensing that the end was near in 1914, Fields took some blanket and went in to the tall weeds near her home.Some children playing nearby found her lying there,and she was to hospital where she died a few days later. She was burried in a small cemetery,alongside the road between Cascade and St.Peters Mission that she had travelled many times during her life. Her grave is marked with a simple cross.

BASKET MOUTH NA MAISHA!


Anatokea pande za Lagos, Nigeria, muite Bright Ukpocha a.k.a Basket Mouth, alipata kusema haya kuhusu maisha.

" In this life, there are two things involved, its either you are a man or ur a woman,
If u r a woman, ur safe, but if you are a man, there are two things involved,
Its either you are a civilian or you are a millitary,
If you are a civilian you are safe, but if you are a millitary, there are two things involved,
Its either you are in the office, or you are in the front line,
If you are in the office, you are safe, but if you are in front line, there are two things involved,
Its either you kill someone, or someone kill you, If u kill some one you are safe,
But if someone kill you, again there are two things involved,
Its either you are used for manure or you are eaten by birds,
If you are eaten by birds, you are safe, but if you are used for manure,there are 2
things involved, either u will be used to grow flowers or u will be used to grow trees,
If you will be used to grow flowers, you are safe, but if u will be used to grow trees, again two
things are involved, Its either you are used to make furnitures or you are used used to make
tissue papers.
If u are used to make tisue papers again there are two things involved,
Its either you are used by a man or you are used by a woman,
If you are used by a man you are safe, but if you are used by a woman, again there are two
things involved, its either she is using you from the back, or she is using you from the front!,
If she is using you from the back, you are safe, but if she is using you from the front, there are
two things involved, Its either you contact Ghonorhea or you contact AIDS,
If you contact ghonorhea you are safe, but if you contact AIDS, there is only one thing involved,
You will die, and if you will die, there are two things involved,
Its either you are burried or you are burnt
If you are burnt you are safe, but if you are burried, there is only one thing involved,
You will decay, and if you will decay, there are two things involved,
Its either you are eaten by animals, or you are used for manure.
If you are eaten by animals you are safe, but if you are used for manure,there are two things
involved, its either you are used to grow flowers, or you are used to grow trees,
If you are used to grow flowers, you are safe, but if you are used to grow trees,there are two
things involved, its either you are used to make furnitures or you are used to make coffins,
If you are used to make furnitures, you are safe, but if you are used to make coffin, there is
only one thing involved, you will be used to burry a dead body, and if u will be used to burry
a dead body, there is only one thing involved, you will become DUST! Ladies and gentlemen
watch your ways and be faithfully to the Heavenly Father, coz we are the dust and into dust
we will be!

JOHN SINGLETON NA IRRESPONSIBLE MEN!



Akimtumia mhusika Blair Underwood ( Mr. Furious ) kwenye movie maarufu iliyotoka mwanzoni mwa miaka ya 90 ( 1991), inayokwenda kwa jina la "BOYZ N DA HOOD". Mtunzi na muongozaji mashuhri wa filamu nchini Marekani, John Singleton, anayo haya ya kutuambia kuhusu wanaume wenye kukwepa majukumu yao. " Any fool with a dick can make a baby, but its only a real man who will take care of his child"

TRACK YA WIKI TOKA MBELE; ALL THE ABOVE BY MAINO FEATURING T PAIN.


Wengi wamemfahamu baada ya kuisikia hit yake " All the Above" akiwa amefanya na mtu mzima T.PAIN. Alizaliwa kwa jina la Jermaine Coleman, huko Brooklyn, New York City. Baada ya kuachia mixtapes kadhaa na kushirikishwa katika track mbalimbali, Maino alisainishwa na label ya Universal Records,hiyo ilikuwa mwaka 2006, baada ya kuona Universal Records hawampi sapoti ya kutosha katika kutangaza kazi,mchizi aliamua kuachana na label hiyo mwaka 2007 na kusign katika label ya Atlantic Records. Akiwa na label yake mpya, Maino alitoka na track yake kali iliyokwenda kwa jina la "Hi Hater". Baadaye aliachia remix ya wimbo huo akiwa na T.I,Swizz Beats, Plies,Jadakiss na Fabolous. Single ya "Hi Hater" haikufanya vizuri sana kama ilivyo fanya single yake iliyofuata "All the Above"ambayo ndo imemtambulisha vyema katika ulimwengu wa muziki . Single ya mwisho katika albamu yake iankwenda kwa jina la Million Bucks iliyotayarishwa na mkali Swizz Beats. Mwezi August,2009,Maino aliachia remix ya track ya 5O Cents, Ok You are Right?/"BK BK" ambayo ameitumia kukielezea kitongoji alichozaliwa na kukulia " Brooklyn". Yacheki mashairi ya track ya ALL THE ABOVE, ambayo ndio imemtoa mchizi.


( CHORUS ) T.PAIN;


Tell me what do u see when you lookin at me ( woooahhhh
Tell me what do u see when you lookin at me 9 woooahhh
On a mission to be what am destined to be ( woooahhhh)
I 've done been through the pain
And the sorrow the struggle is nothing but luv
( Nothing but luv )
I'm a soldier a rider a gheto surviver
And all the above

And all the above
And all the above
All the above
And all the above
And all the above
And all the above
And all the above

Maino: ( verse no.1 )


Really what do u see, when you lookin at me,
See me come up from nothin,to me living my dreams,
I done been to the bottom,I done suffered a lot,
I deserve to be rich, headed straight to the top
Look how i ride for the block look how i rep for the
hood i get nothing but luv now
When i come through the hood getting this fortunate
And fame,money make all of us change
The new Benz is all white call it John Mcain
How the hell could stop me
Why the world would you try?
I go hard forever thats just how am designed thats just how
I was built see the look in my eyes
You take all of this from me
And am still gon' survive you get through from me
But these rapers gon'lie
Im a part of this streets till the day
That i die I way hotter than hatters glad
That i finally done made it take a look
And you can tell that I am destined for greatness.


( REPEAT CHORUS; BY T.PAIN )

VERSE 2;BY MAINO;

Its easy to hate, its harder to luv me yall
Dont understand, yall quick to judge me
Put ur foot in my nikes picture
U livin in my life picture u stuck
In a cell picture u wasting ur life
Picture you facing a charge picture
You beating the odds picture you
Willing to bleed picture u wearing the scars thenk u for
Makingme struggle thank u for making me cry
I perfected my husttle tell the world aint mine if u aint seen me lately
Im a miracle baby i refuse to lose
This is what the ghetto done made me
I put that for my father tryna hope for tomorrow
When i think that i cant envision Obama
I envision diamonds I envision ferraris if the
World was perfect all my niggas behind me aint you happy
I made it that am making this statement
Take a look and you can tell am destined for greatness.


(REPEAT CHORUS ; T.PAIN)

( BRIDGE: T.PAIN)

Now we gon talk on this spot( spot) or if am out
On the block( block) i husttle hard cos
Its all the same ( they know,they know............)
And you know that grind dont stop just cos i rose to
The top ( top) and everybody knows my name
( They knowm they know..............)
Ayyy still grinding ( still grinding.............)
Still hustling( still hustling)no
More pain( no more pain) no more sufferering
(No more sufferering) my ladies and my shorties
And my thug keep that task and that shine and the love.

All the above
All the above
All the above
All the above
All the above
All the abovE
All the above