
Akimtumia mhusika Blair Underwood ( Mr. Furious ) kwenye movie maarufu iliyotoka mwanzoni mwa miaka ya 90 ( 1991), inayokwenda kwa jina la "BOYZ N DA HOOD". Mtunzi na muongozaji mashuhri wa filamu nchini Marekani, John Singleton, anayo haya ya kutuambia kuhusu wanaume wenye kukwepa majukumu yao. " Any fool with a dick can make a baby, but its only a real man who will take care of his child"

No comments:
Post a Comment