
Tutakuwa tunawaletea quotation kali za hiphope zilizo ama tumiwa na wana hiphope ama katika track zao au kwenye movies zao. K wa kuanzia leo tunaanza na quotation ya Curtis James Jackson, namzungumzia 50 Cents. Quotatio hii kali aliinena kwenye Documentary movie yake inayokwenda kwa jina la GET RICH OR DIE TRYN, anasema
" I have been lookin for my daddy , for a very long tyme,But finally i have come to realize that, i have been looking for myself!"

No comments:
Post a Comment