
Hii ni habari itakayo kuwa katika ukurasa wa mbele kabisa wa toleo la kwanza la jarida lako la ukweli MAMAHIPHOPe MAGAZINE, litakalo toka katikati ya mwezi Novemba mwaka huu.
Mdau umewahi kusikia kitu kinaitwa TRANSMIGRATION? Labda kwa faida ya wasio fahamu, TRANSMIGRATION is the passing of the soul into another body after death. Kwa tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili TRANSMIGRATION ni kitendo cha kuamisha nafsi ya mtu kwenda kwa mtu mwingine baada ya kifo. Kaa mkao wa kusubiri, habari kamili utaipata kwenye jarida lako babujubwa la MAMAHIPHOPe MAGAZINE. Novemba sio bali mzee!!

No comments:
Post a Comment