Haya ndo mambo tusiyoyataka katika familia yetu ya hiphop, msanii wa hiphop unaweza kupandisha mauzo ya kazi zako kwa beef, but huwezi kufanya hivyo by acting like a fool. like what Remmy Ma, has alwsys been done.Ingawa kwa sasa yupo jela, but anatakiwa kujifunza kwa wasanii wenzake wa kike wa hiphop kama akina Rah Diga, ambao wanafanya vyema sokoni, kutokana na ubora wa kazi zao na wala sio, kufanya vituko vya kipuuzi visivyo kuwa na mantiki.
Saturday, October 10, 2009
REMMY MA, ARE U CRAZY OR SOMETHIN? I THINK UR A FOOL!DONT U?
Haya ndo mambo tusiyoyataka katika familia yetu ya hiphop, msanii wa hiphop unaweza kupandisha mauzo ya kazi zako kwa beef, but huwezi kufanya hivyo by acting like a fool. like what Remmy Ma, has alwsys been done.Ingawa kwa sasa yupo jela, but anatakiwa kujifunza kwa wasanii wenzake wa kike wa hiphop kama akina Rah Diga, ambao wanafanya vyema sokoni, kutokana na ubora wa kazi zao na wala sio, kufanya vituko vya kipuuzi visivyo kuwa na mantiki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment